sw_tn/eph/05/22.md

12 lines
341 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# sentensi Unganishi:
Paulo anatoa maelekezo kwa mume na wake juu ya jinsi wanavyopaswa kutendeana.
# yeye ni mwokozi wa mwili
NI: "Kristo ni Mwokozi wa mwili wa waumini" au "Kristo ni Mwokozi wa waumini wote"
# Hivyo pia wake wawe kwa waume zao katika kila kitu
NI: "hivyo wake lazima pia wawe watiifu kwa waume zao katika kila jambo"