# sentensi Unganishi: Paulo anatoa maelekezo kwa mume na wake juu ya jinsi wanavyopaswa kutendeana. # yeye ni mwokozi wa mwili NI: "Kristo ni Mwokozi wa mwili wa waumini" au "Kristo ni Mwokozi wa waumini wote" # Hivyo pia wake wawe kwa waume zao katika kila kitu NI: "hivyo wake lazima pia wawe watiifu kwa waume zao katika kila jambo"