sw_tn/eph/04/04.md

16 lines
370 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mwili mmoja
Kanisa mara nyingi linatafasiriwa kama mwili wa Kristo.
# Roho moja
"Roho Mtakatifu mmoja tu" (UDB)
# Pia mliitwa katika ujasiri wa taraja moja
"Mungu aliwachagua ninyi katika tumaini moja la uhakika"
# Baba wa wote ... juu ya wote ... na katika yote ...na ndani ya wote
"Baba wa kila kitu...juu ya kila kitu...kupitia kila kitu...katika kila kitu"