# Mwili mmoja Kanisa mara nyingi linatafasiriwa kama mwili wa Kristo. # Roho moja "Roho Mtakatifu mmoja tu" (UDB) # Pia mliitwa katika ujasiri wa taraja moja "Mungu aliwachagua ninyi katika tumaini moja la uhakika" # Baba wa wote ... juu ya wote ... na katika yote ...na ndani ya wote "Baba wa kila kitu...juu ya kila kitu...kupitia kila kitu...katika kila kitu"