sw_tn/eph/01/19.md

44 lines
1003 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ukuu uzidio wa nguvu yake
Nguve za Mungu za pita sana nguvu zingine.
# ndani yetu
"kwa faida yetu" au "kwa uhusiano nasi"
# kufanya kazi katika nguvu zake
"nguvu yake kubwa ambayo ya fanya kazi ndani yetu"
# alimfufua kutoka kwa wafu
"alimfufua kutoka kwa wafu" au "alimfanya kuishi tena"
# kumketisha katika mkono wake wa kuume
"Kristo aliye keti mkono wa kuume wa Mungu" au "kristo aliye keti sehemu ya adhama"
# mahali pa mbingu
"katika ulimwengu wa roho". Neno "mbingu" la husu sehemu Mungu alipo. Ona jinsi illivyo tafsiriwa katika 1:3
# juu mbali na utawala, mamlaka, nguvu, enzi
Hii ni misemo tofauti ya matabaka ya viumbe wa rohoni, kwa malaika na mapepo. " mbali zaidi ya aina tofauti za viumbe wa rohoni"
# kila jina litajwalo
Hii ya weza tajwa katika kauli tendaji. Tafsiri zilizopo ni 1) "Kila jina mwanadamu atoalo" au 2) "Kila jina Mungu atoalo"
# Jina
Tafsiri zilizopo ni 1) Cheo au 2)nafasi ya mamlaka.
# wakati huu
"Katika wakati huu"
# wakati ujao
"hapo baadae"