# ukuu uzidio wa nguvu yake Nguve za Mungu za pita sana nguvu zingine. # ndani yetu "kwa faida yetu" au "kwa uhusiano nasi" # kufanya kazi katika nguvu zake "nguvu yake kubwa ambayo ya fanya kazi ndani yetu" # alimfufua kutoka kwa wafu "alimfufua kutoka kwa wafu" au "alimfanya kuishi tena" # kumketisha katika mkono wake wa kuume "Kristo aliye keti mkono wa kuume wa Mungu" au "kristo aliye keti sehemu ya adhama" # mahali pa mbingu "katika ulimwengu wa roho". Neno "mbingu" la husu sehemu Mungu alipo. Ona jinsi illivyo tafsiriwa katika 1:3 # juu mbali na utawala, mamlaka, nguvu, enzi Hii ni misemo tofauti ya matabaka ya viumbe wa rohoni, kwa malaika na mapepo. " mbali zaidi ya aina tofauti za viumbe wa rohoni" # kila jina litajwalo Hii ya weza tajwa katika kauli tendaji. Tafsiri zilizopo ni 1) "Kila jina mwanadamu atoalo" au 2) "Kila jina Mungu atoalo" # Jina Tafsiri zilizopo ni 1) Cheo au 2)nafasi ya mamlaka. # wakati huu "Katika wakati huu" # wakati ujao "hapo baadae"