sw_tn/eph/01/17.md

24 lines
704 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# roho ya hekima na mafunuo ya ufahamu wake
":hekima ya kiroho ya kufahamu mafunuo yake"
# macho yenu ya moyoni yatiwe nuru
"kipengele macho ya rohoni "inaelezea uwezo wa mtu kupata ufahamu.'kwamba upate ufahamu na kutiwa nuru."
# macho yenu ya moyoni yatiwe nuru
Hii yawezwa tajwa kama njeo tendaji. Ili Mungu awatie nuru mioyo yenu" au "kwamba Mungu awatie nuru ufahamu wenu"
# kutiwa nuru
"kufanywa kuona"
# urithi
Kupokea kile ambacho Mungu amewaahidi waamini, ya elezewa kana kwamba mtu anarithi mali na utajiri kutoka kwa nduguye wa familia.
# watakatifu wote wa Mungu
Hii yawezwa tajwa kama njeo tendaji. "Wote wale ambao amewatenga kwa ajili yake" au "wote wale ambao ni wake kabisa"