# roho ya hekima na mafunuo ya ufahamu wake ":hekima ya kiroho ya kufahamu mafunuo yake" # macho yenu ya moyoni yatiwe nuru "kipengele macho ya rohoni "inaelezea uwezo wa mtu kupata ufahamu.'kwamba upate ufahamu na kutiwa nuru." # macho yenu ya moyoni yatiwe nuru Hii yawezwa tajwa kama njeo tendaji. Ili Mungu awatie nuru mioyo yenu" au "kwamba Mungu awatie nuru ufahamu wenu" # kutiwa nuru "kufanywa kuona" # urithi Kupokea kile ambacho Mungu amewaahidi waamini, ya elezewa kana kwamba mtu anarithi mali na utajiri kutoka kwa nduguye wa familia. # watakatifu wote wa Mungu Hii yawezwa tajwa kama njeo tendaji. "Wote wale ambao amewatenga kwa ajili yake" au "wote wale ambao ni wake kabisa"