sw_tn/eph/01/05.md

20 lines
495 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Maneno "wake", "Yeye", na "yeye" yamuhusu Mungu.
# Mungu ametutangazia sisi kuwa warithi wake
Neno' sisi' linamhusu Paulo, Kanisa la Efeso, na waamini wote ndani ya Kristo."Mungu alipanga muda mrefu kuturithi."
# Kuwa urithi
Hapa " warithi" inahusu kuwekwa ndani ya familia ya Mungu.
# Kupitia Yesu Kristo
Mungu aliwaleta waamini kwenye familia yake kupitia kazi ya Yesu Kristo.
# Mpendwa wake wa kipekee
"Mpendwa wake pekee, Yesu Kristo" au "Mwanae, anaye mpenda"