# Maelezo ya Jumla Maneno "wake", "Yeye", na "yeye" yamuhusu Mungu. # Mungu ametutangazia sisi kuwa warithi wake Neno' sisi' linamhusu Paulo, Kanisa la Efeso, na waamini wote ndani ya Kristo."Mungu alipanga muda mrefu kuturithi." # Kuwa urithi Hapa " warithi" inahusu kuwekwa ndani ya familia ya Mungu. # Kupitia Yesu Kristo Mungu aliwaleta waamini kwenye familia yake kupitia kazi ya Yesu Kristo. # Mpendwa wake wa kipekee "Mpendwa wake pekee, Yesu Kristo" au "Mwanae, anaye mpenda"