sw_tn/eph/01/03.md

32 lines
934 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Paulo anafungua barua kwa kuongea kuhusu nafasi ya waamini na usalama wao mbele za Mungu.
# Maelezo ya Jumla
Katika hiki kitabu, vinginevyo kuelezwa, maneno "sisi" na "wote" ya husu Paulo, waamini wa Efeso, na waamini wote.
# Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo apewe sifa.
'Hii pia yaweza ekwa hali tendaji. " Acha tumsifu Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.
# Aliyetubariki
"kwa kuwa Mungu ameyubariki sisi"
# Kila baraka za rohoni
"Kila baraka zinakuja kutoka katika Roho wa Mungu"
# Katika maeneo ya bingu
"katika ulimwengu wa roho". Neno "bingu" la husu mahali Mungu alipo.
# Ndani ya Yesu
"Ndani ya Yesu " sawa na maelezo ambayo ni mafumbo kila mara hutokea kwenye barua za Agano jipya. Zinaeleza aina ya mahusiano mazito yanayowezekana kati Kristo na wote wanaomwamini.
# Tuwe watakatifu na tusiwe na lawama
Paulo anatumia maneno mawili yenye kufanana akisisitiza uadilifu.