# Sentensi unganishi Paulo anafungua barua kwa kuongea kuhusu nafasi ya waamini na usalama wao mbele za Mungu. # Maelezo ya Jumla Katika hiki kitabu, vinginevyo kuelezwa, maneno "sisi" na "wote" ya husu Paulo, waamini wa Efeso, na waamini wote. # Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo apewe sifa. 'Hii pia yaweza ekwa hali tendaji. " Acha tumsifu Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. # Aliyetubariki "kwa kuwa Mungu ameyubariki sisi" # Kila baraka za rohoni "Kila baraka zinakuja kutoka katika Roho wa Mungu" # Katika maeneo ya bingu "katika ulimwengu wa roho". Neno "bingu" la husu mahali Mungu alipo. # Ndani ya Yesu "Ndani ya Yesu " sawa na maelezo ambayo ni mafumbo kila mara hutokea kwenye barua za Agano jipya. Zinaeleza aina ya mahusiano mazito yanayowezekana kati Kristo na wote wanaomwamini. # Tuwe watakatifu na tusiwe na lawama Paulo anatumia maneno mawili yenye kufanana akisisitiza uadilifu.