sw_tn/col/03/22.md

32 lines
660 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# tiini mabwana zenu kulingana na mwili
"tiini mabwana zenu wa kidunia"
# sio kwa huduma ya machoni kama watu wa kufurahisha
"Vitu. msitii pale tu wakati Bwana wenu anawatazama, kama ambavyo mnatakiwa kuwafurahisha watu"
# kama kwa Bwana
"kama muwezavyo kufanya kwa Bwana"
# "tuzo ya umilikaji"
"zawadi ya urthi"
# urithi
Kupokea kile Mungu alichowaahidi waamini kinazungumziwa kana kwamba kulikuwa na mali na utajiri kutoka wanafamilia.
# yeyote atendaye yasiyo haki atapokea huku
"Mungu ataadhibu yeyote afanyaye yasiyohaki"
# afanyaye uovu
ambaye atendaye makosa yoyote
# hakuna upendeleo
"Mungu humuhukumu kila mmoja kwa kiwango kile kile"