# tiini mabwana zenu kulingana na mwili "tiini mabwana zenu wa kidunia" # sio kwa huduma ya machoni kama watu wa kufurahisha "Vitu. msitii pale tu wakati Bwana wenu anawatazama, kama ambavyo mnatakiwa kuwafurahisha watu" # kama kwa Bwana "kama muwezavyo kufanya kwa Bwana" # "tuzo ya umilikaji" "zawadi ya urthi" # urithi Kupokea kile Mungu alichowaahidi waamini kinazungumziwa kana kwamba kulikuwa na mali na utajiri kutoka wanafamilia. # yeyote atendaye yasiyo haki atapokea huku "Mungu ataadhibu yeyote afanyaye yasiyohaki" # afanyaye uovu ambaye atendaye makosa yoyote # hakuna upendeleo "Mungu humuhukumu kila mmoja kwa kiwango kile kile"