sw_tn/col/01/09.md

36 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Kwa sababu Rohi amewawezesha kuwapenda wengine, Paulo anawaombea na kuwaambia hapa vile aombavyo kwa ajili yao.
# Kwa sababu ya upendo huu
"Kwa sababu Roho Mtakatifu amewawezesha kupenda waumini wengine."
# Tulisikia...hatujaacha...tumekuwa tukiuliza...tumekuwa tukiomba
Hii inaonyesha Paulo na Timotheo lakini si waumini wakolosai
# tangu siku tuliposikia hivi
"tangu siku Epafra alipotuambia haya mambo"
# kwamba mtajazwa na maarifa ya mapenzi yake
Paulo anazungumzia waumini wa Kolosai kana kwamba walikuwa chombo cha kubebea. "kwamba Mungu atawajaza kwa kile mnachohitaji kukijua hivyo basi mtafanya mapenzi yake"
# Katika hekima yote na ufahamu wa kiroho
"Hekima na ujuzi mmpewa kwa Roho Mtakatifu"
# kwamba mtembee katika ustahimilivu wa Bwana katika yeye
"Kwamba muishi katika njia ambayo Ingempendeza Mungu"
# katika njia zinazompendeza
"katika njia ambazo zitampendeza Bwana"
# Mzae matunda
Hii inalingashwa na mti uzaao matunda kwa kazi nzuri ya waumini.Kama mmea ukuao nakuzaa matunda, hivyo pia waaumini ni kukua katika kumjua Mungu na katika kutenda matendo mema.