# Sentensi Unganishi: Kwa sababu Rohi amewawezesha kuwapenda wengine, Paulo anawaombea na kuwaambia hapa vile aombavyo kwa ajili yao. # Kwa sababu ya upendo huu "Kwa sababu Roho Mtakatifu amewawezesha kupenda waumini wengine." # Tulisikia...hatujaacha...tumekuwa tukiuliza...tumekuwa tukiomba Hii inaonyesha Paulo na Timotheo lakini si waumini wakolosai # tangu siku tuliposikia hivi "tangu siku Epafra alipotuambia haya mambo" # kwamba mtajazwa na maarifa ya mapenzi yake Paulo anazungumzia waumini wa Kolosai kana kwamba walikuwa chombo cha kubebea. "kwamba Mungu atawajaza kwa kile mnachohitaji kukijua hivyo basi mtafanya mapenzi yake" # Katika hekima yote na ufahamu wa kiroho "Hekima na ujuzi mmpewa kwa Roho Mtakatifu" # kwamba mtembee katika ustahimilivu wa Bwana katika yeye "Kwamba muishi katika njia ambayo Ingempendeza Mungu" # katika njia zinazompendeza "katika njia ambazo zitampendeza Bwana" # Mzae matunda Hii inalingashwa na mti uzaao matunda kwa kazi nzuri ya waumini.Kama mmea ukuao nakuzaa matunda, hivyo pia waaumini ni kukua katika kumjua Mungu na katika kutenda matendo mema.