sw_tn/act/28/05.md

8 lines
227 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# akamkung'utia yule mnyama motoni
alitikisa mkono wake ili yule nyoka aangukie kwenye moto
# walisema kuwa alikuwa mungu
labda kulikuwa na imani kwamba mtu yeyote aliyeishi baada ya kugongwa na nyoka alikuwa sio wa kawaida