# akamkung'utia yule mnyama motoni alitikisa mkono wake ili yule nyoka aangukie kwenye moto # walisema kuwa alikuwa mungu labda kulikuwa na imani kwamba mtu yeyote aliyeishi baada ya kugongwa na nyoka alikuwa sio wa kawaida