sw_tn/act/23/06.md

24 lines
680 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ndugu zangu
Hapa "Ndugu zangu" maana yake "Wayahudi wenzake"
# mwana wa Mfarisayo
Hapa "mwana" maana yake yeye ni mwana halisi wa Farisayo na pia mtoto wa farisayo. "baba na mababa zake walikuwa mafarisayo"
# Kwa ujasiri nakubali ufufuo wa wafu
neno "ufufuo" linaweza kumaanisha "kurudi kwenye maisha." kivumishi cha jina "wafu" inaweza kuwa "wale waliokufa." "Mimi kwa ujasiri nakubali wale waliokufa watarejea katika maisha"
# Nimekwisha kuhukumiwa
"Mnanihukumu juu ya jambo hili"
# mkutano ukagawanyika
"watu katika umati kwa nguvu hawakukubaliana wao kwa wao"
# Kwa maana Masadukayo ... lakini Mafarisayo
Hii ni taarifa za msingi kuhusu Masadukayo na Mafarisayo.