# Ndugu zangu Hapa "Ndugu zangu" maana yake "Wayahudi wenzake" # mwana wa Mfarisayo Hapa "mwana" maana yake yeye ni mwana halisi wa Farisayo na pia mtoto wa farisayo. "baba na mababa zake walikuwa mafarisayo" # Kwa ujasiri nakubali ufufuo wa wafu neno "ufufuo" linaweza kumaanisha "kurudi kwenye maisha." kivumishi cha jina "wafu" inaweza kuwa "wale waliokufa." "Mimi kwa ujasiri nakubali wale waliokufa watarejea katika maisha" # Nimekwisha kuhukumiwa "Mnanihukumu juu ya jambo hili" # mkutano ukagawanyika "watu katika umati kwa nguvu hawakukubaliana wao kwa wao" # Kwa maana Masadukayo ... lakini Mafarisayo Hii ni taarifa za msingi kuhusu Masadukayo na Mafarisayo.