sw_tn/act/22/12.md

28 lines
584 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Fungu hili linazungumzia habari za Anania
# Anania
Huyu si Anania aliyekufa mapema mwanzoni mwa sura ya 5:3
# mtu mwema kwa mujibu wa sheria
Anania ilikuwa makini sana kuhusu kufuata sheria za Mungu.
# aliyenenwa vyema na Wayahudi walioishi kule
"Wayahudi walioishi kule walinema mema juu yake"
# ndugu Sauli
Hapa "Ndugu" ni njia ya kistaarabu kumuelezea mtu. "Rafiki yangu Sauli"
# pokea kuona
neno "kuona" inaweza kutafsiriwa na kitenzi "kuona." "kuona tena"
# muda uleule
Hii ni kawaida kama tukio lilitendeka muda mfupi baada ya kuanza kwa tukio.