sw_tn/act/21/27.md

36 lines
849 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Huu ni mwanzo wa sehemu ya hadithi kuhusu kukamatwa kwa Paulo.
# Taarifa ya jumla
Mstari wa 29 unaelezea habari kuhusu Wayahudi kutoka Asia.
# Siku saba
Hizi zilikuwa siku saba kwa ajili ya kujitakasa.
# katika Hekalu
Paulo hakuwa ndani ya hekalu lenyewe. Alikuwa kwenye uwa wa nje wa hekalu.
# Makutano wote wakashawishika
"Ilisababisha kundi kubwa la watu kuanzisha upinzani.
# na wakamnyoshea mikono
Neno Kumnyoshea mikono" lina maana ya watu kuanza kumvamia.
# watu, sheria na mahali
"Watu wa Israel, sheria ya Musa, na hekalu
# mwanzoni walikuwa wamemwona...walidhani kwamba Paulo alikuwa ameingia na Myunani hekaluni
Mwandishi Luka anaelezea kwanini wayahudi kutoka Asia walimshitaki Paulo kuwa alimleta Myunani
# Trofimu
Huyu alikuwa mwanaume Myunani ambaye Paulo alishitakiwa kuwa aliingia naye hekalu