sw_tn/act/21/22.md

28 lines
710 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Fungu hili limawahusu Yakobo na wazee wengine.
# watu wanne ambao waliweka kiapo
Hii ilikuwa ni aina ya kiapo ambapo mtu hakutaka kunywa kileo au kukata nywele zao mpaka mwisho wa kipindi cha kuweka muda. "watu wanne ambao walitoa ahadi kwa Mungu."
# Wachukue watu hawa na ujitakase mwenyewe pamoja nao
Walikuwa wanapaswa wao wenyewe kujitakasa ili waweze kuabudu ndani ya hekalu.
# na uwalipie gharama zao
Lipa kile ambacho watahitaji kulipiwa.
# ili waweze kunyoa vichwa vyao
Hii ni ishara ya mtu anayetimiza nadhili yake kwa Mungu.
# mambo waliyoambiwa kuhusu wewe
Mambo ambayo yanasemwa na watu kukuhusu wewe.
# Kufuata sheria
Inamaanisha utii wa kuzishika sheria za Mungu.