sw_tn/act/20/09.md

24 lines
542 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Habari hii inazungumzia juu ya Paulo na Eutiko.
# katika dirisha
Hii ilikuwa sehemu ya uwazi katika kona ya ukuta wa chumba cha juu. Upana wake ulitosha mtu kuweza kuketi pale.
# Eutiko
Hili ni jina la mtu mwanaume
# aliyepatwa na usingizi mzito
Hapa inasemea; "Alichoka sana na kupelekea usingizi mzito uliompata"
# ghorofa ya tatu na aliokotwa akiwa amekufa
Wakati walipotelemka kwenda kuona hali yake, walimwona akiwa amekwisha kufa.
# Ghorofa ya tatu
Hii inamaanisha ghorofa mbili kabla ya tatu inayofuata.