# Taarifa ya jumla Habari hii inazungumzia juu ya Paulo na Eutiko. # katika dirisha Hii ilikuwa sehemu ya uwazi katika kona ya ukuta wa chumba cha juu. Upana wake ulitosha mtu kuweza kuketi pale. # Eutiko Hili ni jina la mtu mwanaume # aliyepatwa na usingizi mzito Hapa inasemea; "Alichoka sana na kupelekea usingizi mzito uliompata" # ghorofa ya tatu na aliokotwa akiwa amekufa Wakati walipotelemka kwenda kuona hali yake, walimwona akiwa amekwisha kufa. # Ghorofa ya tatu Hii inamaanisha ghorofa mbili kabla ya tatu inayofuata.