sw_tn/act/19/05.md

28 lines
541 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Paulo anaendelea kuishi huko Efeso
# Wakati watu
"Watu" hapa inahusu waumini wa Efeso wakizungumza na Paulo.
# Wakabatizwa
Wakapokea ubatizo
# Kwa jina la Bwana Yesu
Hapa "Jina" linamaanisha nguvu na mamlaka ya Yesu.
# akaweka mikono yake
Akaweka mikono yake juu ya vichwa vyao wakati akiomba'
# walinena kwa lugha nyingine, na kutabiri
hakuna maelezo ya ambao wanaweza kuelewa ujumbe wao
# Katika yote walikuwa watu wapatao kumi na wawili
Hii ni taarifa za msingi kuhusu wanaume ambao walikuwa wamebatizwa