# Sentensi unganishi Paulo anaendelea kuishi huko Efeso # Wakati watu "Watu" hapa inahusu waumini wa Efeso wakizungumza na Paulo. # Wakabatizwa Wakapokea ubatizo # Kwa jina la Bwana Yesu Hapa "Jina" linamaanisha nguvu na mamlaka ya Yesu. # akaweka mikono yake Akaweka mikono yake juu ya vichwa vyao wakati akiomba' # walinena kwa lugha nyingine, na kutabiri hakuna maelezo ya ambao wanaweza kuelewa ujumbe wao # Katika yote walikuwa watu wapatao kumi na wawili Hii ni taarifa za msingi kuhusu wanaume ambao walikuwa wamebatizwa