sw_tn/act/18/12.md

12 lines
416 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Hili ni tukio jipya katika hadithi. Paulo aliletwa kwenye kiti cha hukumu mbele ya Galio.
# Galio alipofanywa mtawala wa Akaya
Akaya ilikuwa jimbo la Roma ambao Korintho ilikuwa sehemu yake ambayo sasa inafahamika kama kusini mwa Ugiriki.
# kumleta yeye mbele ya kiti cha hukumu
Wayahudi walimshika Paulo kwa nguvu na kumleta Paulo mbele ya mahakama. "walimpeleka ili akahukumiwe na mtawala"