# Taarifa ya jumla Hili ni tukio jipya katika hadithi. Paulo aliletwa kwenye kiti cha hukumu mbele ya Galio. # Galio alipofanywa mtawala wa Akaya Akaya ilikuwa jimbo la Roma ambao Korintho ilikuwa sehemu yake ambayo sasa inafahamika kama kusini mwa Ugiriki. # kumleta yeye mbele ya kiti cha hukumu Wayahudi walimshika Paulo kwa nguvu na kumleta Paulo mbele ya mahakama. "walimpeleka ili akahukumiwe na mtawala"