sw_tn/act/17/24.md

24 lines
497 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Dunia
Kwa hali ya ujumla "dunia" inamaanisha mbingu na ardhi na kila kitu kilichoko ndani yake.
# kuwa Yeye ni Bwana
"Yeye" inarejea yule Mungu asiyefahamika ambaye Paulo anawaelezea kuwa ni Bwana Mungu. "kwasababu ni Mungu"
# yaliyojengwa na mikono
"kupitia matendo ya watu"
# hatumikiwi na mikono ya wanadamu
"Kutumikiwa" ni ile hali ambayo Daktari anapomhudumia mgonjwa ili apone. "kujali kwa"
# Kwa mikono ya watu
"kwa mikono ya wanadamu"
# Kwani Yeye
"kwasababu Yeye mwenyewe"