# Dunia Kwa hali ya ujumla "dunia" inamaanisha mbingu na ardhi na kila kitu kilichoko ndani yake. # kuwa Yeye ni Bwana "Yeye" inarejea yule Mungu asiyefahamika ambaye Paulo anawaelezea kuwa ni Bwana Mungu. "kwasababu ni Mungu" # yaliyojengwa na mikono "kupitia matendo ya watu" # hatumikiwi na mikono ya wanadamu "Kutumikiwa" ni ile hali ambayo Daktari anapomhudumia mgonjwa ili apone. "kujali kwa" # Kwa mikono ya watu "kwa mikono ya wanadamu" # Kwani Yeye "kwasababu Yeye mwenyewe"