sw_tn/act/17/16.md

20 lines
682 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Hii ni sehemu nyingine ya hadithi ya Paulo na Sila wakiwa safarini. Paulo kwa sasa yuko Athene akiwangojea Silas na Timotheo kuungana naye.
# roho yake iikasirishwa kuona mji umejaa na miungu ya sanamu.
"alisumbuliwa" au "alifadhaika" au "akawa na huzuni"
# akajadiliana
Hili neno linaashiria kuwa kulikuwa na majibizano zaidi kutoka kwa wasikilizaji kuliko katika kuhubiri. "alijadiliana"
# sokoni
Hii ni sehemu ambayo watu huuza na kununua vitu, ngombe, au huduma hutolewa. " sehemu ya umma"
# Wale waliokuwa wakimwabudu Mungu
Inamaanisha Watu wa mataifa waliokuwa wakimsifu Mungu na kumfuata ingawa hawakuwa wakifuata taratibu za ibada ya Kiyahudi.