sw_tn/act/17/13.md

28 lines
723 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Athene ni mji uliokuwa chini ya pwani kutoka Beroya ambayo ni Makedonia. Atheni ulikuwa moja ya miji muhimu zaidi katika Uyunani.
# walipogundua
"walipoambiwa" au "walipojulishwa" au "waliposikia"
# walikwenda huko na kuchochea
Hii inazungumzia kuhusu watu walioshawishwa kama mtu anayechanganya kemikali ili kutoa mlipuko. Waliwaendea na kuwashawishi kutenda isivyo.
# kuanzisha ghasia katika umati
"kusababisha hofu na wasiwasi miongoni mwa watu"
# Ndugu
Neno "ndugu" linamaanisha wanaume na wanawake walioamini"
# waliompeleka Paulo
"Walioambatana na Paulo" au "waliokwenda pamoja na Paulo"
# Walipokea kwake maelekezo kuhusu Silas na Timotheo.
"Aliwaambia wawaelekeze Silas na Timotheo"