# Taarifa ya jumla Athene ni mji uliokuwa chini ya pwani kutoka Beroya ambayo ni Makedonia. Atheni ulikuwa moja ya miji muhimu zaidi katika Uyunani. # walipogundua "walipoambiwa" au "walipojulishwa" au "waliposikia" # walikwenda huko na kuchochea Hii inazungumzia kuhusu watu walioshawishwa kama mtu anayechanganya kemikali ili kutoa mlipuko. Waliwaendea na kuwashawishi kutenda isivyo. # kuanzisha ghasia katika umati "kusababisha hofu na wasiwasi miongoni mwa watu" # Ndugu Neno "ndugu" linamaanisha wanaume na wanawake walioamini" # waliompeleka Paulo "Walioambatana na Paulo" au "waliokwenda pamoja na Paulo" # Walipokea kwake maelekezo kuhusu Silas na Timotheo. "Aliwaambia wawaelekeze Silas na Timotheo"