sw_tn/act/17/10.md

28 lines
657 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Hii ni sehemu nyingine ya habari kuhusu Paulo na Sila safarini. Kwa sasa wako Beroya"
# ndugu
Neno "ndugu" linamaanisha wanaume na wanawake walioamini"
# Hawa watu walikuwa waungwana mno
Ni watu waliokuwa na utayari wa kufikiri kwa hali ya kupokea mawazo mapya zaidi ya watu wengine'.
# walipokea neno
"kusikiliza mafundisho"
# kwa utayari wa akili zao
"Hao Waberoya walikuwa wamejiandaa kuchunguza mafundisho ya Paulo kulingana na maandiko"
# kuchunguza maandiko kila siku
"kusoma kwa umakini na kupima uhalisia wa kifungu cha maandiko kila siku"
# mambo haya yaliendelea hivyo.
"Maneno aliyoyasema Paulo yalikuwa ya kweli.