# Taarifa ya Jumla Hii ni sehemu nyingine ya habari kuhusu Paulo na Sila safarini. Kwa sasa wako Beroya" # ndugu Neno "ndugu" linamaanisha wanaume na wanawake walioamini" # Hawa watu walikuwa waungwana mno Ni watu waliokuwa na utayari wa kufikiri kwa hali ya kupokea mawazo mapya zaidi ya watu wengine'. # walipokea neno "kusikiliza mafundisho" # kwa utayari wa akili zao "Hao Waberoya walikuwa wamejiandaa kuchunguza mafundisho ya Paulo kulingana na maandiko" # kuchunguza maandiko kila siku "kusoma kwa umakini na kupima uhalisia wa kifungu cha maandiko kila siku" # mambo haya yaliendelea hivyo. "Maneno aliyoyasema Paulo yalikuwa ya kweli.