sw_tn/act/13/40.md

44 lines
697 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi ungsnishi
Paulo anamalizia hotuba yake katika Sinagogi la Antiokia ya Pisidia aliyoianza katika sura 31:16.
# Maelezo ya jumla
Katika ujumbe wake kwa watu wa Sinagogi, Paulo ananukuu nukuu ya Nabii Habakuki.
# Kuweni waangalifu
"Iweni waangalifu kwa mambo ambayo nimekwisha waelezeni."
# kwamba kitu walichokiongelea manabii
"Kwa kile manabii walishawahi kuzungumzia"
# Tazama, enyi mnaodharau
"Mnaofanya mizaha, dharau"
# mkashangae
"Mkashitushwe"
# mkaangamie
"Kisha kufa"
# Ninafanya kazi
"Ninatenda kitu"
# Katika siku zenu
"Kipindi cha uhai wenu"
# Kazi ambayo
"Ninafanya kitu ambacho"
# hata kama mtu atawaeleza."
"Hata ikiwa mtu mmoja kuwaanbia habari yake"