# Sentensi ungsnishi Paulo anamalizia hotuba yake katika Sinagogi la Antiokia ya Pisidia aliyoianza katika sura 31:16. # Maelezo ya jumla Katika ujumbe wake kwa watu wa Sinagogi, Paulo ananukuu nukuu ya Nabii Habakuki. # Kuweni waangalifu "Iweni waangalifu kwa mambo ambayo nimekwisha waelezeni." # kwamba kitu walichokiongelea manabii "Kwa kile manabii walishawahi kuzungumzia" # Tazama, enyi mnaodharau "Mnaofanya mizaha, dharau" # mkashangae "Mkashitushwe" # mkaangamie "Kisha kufa" # Ninafanya kazi "Ninatenda kitu" # Katika siku zenu "Kipindi cha uhai wenu" # Kazi ambayo "Ninafanya kitu ambacho" # hata kama mtu atawaeleza." "Hata ikiwa mtu mmoja kuwaanbia habari yake"