sw_tn/act/12/11.md

20 lines
464 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Petro alipojitambua
"Petro alipopata ufahamu alitambua kuwa tukio lilikuwa halisi"
# ili kunitoa katika mikono ya Herode,
ungu ameniokoa na mkono mbaya wa Herode uliopangwa kwa ajili yangu"
# na kwa matarajio ya watu wote wa uyahudi
"Kwamba Wayahudi viongozi walidhani ingefanikiwa kwa Petro kuuawa"
# Baada ya kujua haya
Herode alitambua kuwa Mungu alikuwa amemwpusha Petro na hukumu ya yake.
# Yohana ambaye ni Marko
"Yohana ambaye pia aliitwa Marko"