# Petro alipojitambua "Petro alipopata ufahamu alitambua kuwa tukio lilikuwa halisi" # ili kunitoa katika mikono ya Herode, ungu ameniokoa na mkono mbaya wa Herode uliopangwa kwa ajili yangu" # na kwa matarajio ya watu wote wa uyahudi "Kwamba Wayahudi viongozi walidhani ingefanikiwa kwa Petro kuuawa" # Baada ya kujua haya Herode alitambua kuwa Mungu alikuwa amemwpusha Petro na hukumu ya yake. # Yohana ambaye ni Marko "Yohana ambaye pia aliitwa Marko"