sw_tn/act/11/15.md

16 lines
579 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Hapa Petro anajumuisha yeye, Mitume na Wayahudi waumini wote waliopokea Roho Mtakatifu katika siku ya Pentekoste.
# Nilipoanza kusema nao, Roho mtakatifu akaja juu yao
namaanisha kwamba, "Petro kabla hajamaliza kunena, kwa vile alikuwa amenuia kusema nao zaidi, Roho Mtakatifu akaingilia kati kwa kuwashukia.
# Roho mtakatifu akaja juu yao kama alivyokuja kwetu mwanzoni.
Roho Mtakatifu alishuka kwa wamataifa walioamini kama vile alivyofanya kwetu siku ya Pentekoste.
# mtabatizwa katika Roho mtakatifu
Mungu atawabatizeni ninyi katika Roho Mtakatifu.