sw_tn/act/09/23.md

20 lines
550 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wayahudi
Inamaanisha Wayahudi viongozi.
# lakini mpango wao ukajulikana na Sauli
"Lakini mtu mmoja akawaambia mpango wao kwa Sauli" au "Lakini Sauli akafahamu mipango yao juu yake"
# Wakamvizia mlangoni
Mji huu ulikuwa na ukuta uliouzunguka.Watu waliingia na kutoka katika mji huo kupitia mlango.
# Wanafunzi wake
Watu walioamini ujumbe wa Sauli kuhusu Yesu na walifuatilia mafundisho yake
# wakamshusha kupitia ukutani, wakamtelemsha chini katika kapu
Kwa kutumia kamba walimshusha Sauli katika kikapu kikubwa kupitia tundu katika ukuta.