sw_tn/act/09/17.md

28 lines
663 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Anania anaenda katika nyumba ambapo Sauli anaishi. Baada ya kuponywa , simulizi inabadilika kutoka kwa Anania kwenda kwa Sauli.
# Anania akaenda, akaingia mle nyumbani;
Anania likwenda kwenye na baada ya kuipata ile nyumba mahali alipokuwepo Sauli akaingia ndani.
# Kumwekea mikono
Anania aliweka mikono yake juu ya Sauli
# amenituma ili upate kuona na kujazwa roho mtakatifu
"Amenituma ili upate kuona tena na Roho Mtakatifu akujaze"
# Kitu kama magamba
"Kitu kilitokea kama magamba ya samaki na kuanguka toka machoni"
# akapata kuona
Alikuwa na uwezo wa kuona tena
# Aliinuka na akabatizwa
"Sauli aliiuka na Anania akambatiza"