# Sentensi unganishi Anania anaenda katika nyumba ambapo Sauli anaishi. Baada ya kuponywa , simulizi inabadilika kutoka kwa Anania kwenda kwa Sauli. # Anania akaenda, akaingia mle nyumbani; Anania likwenda kwenye na baada ya kuipata ile nyumba mahali alipokuwepo Sauli akaingia ndani. # Kumwekea mikono Anania aliweka mikono yake juu ya Sauli # amenituma ili upate kuona na kujazwa roho mtakatifu "Amenituma ili upate kuona tena na Roho Mtakatifu akujaze" # Kitu kama magamba "Kitu kilitokea kama magamba ya samaki na kuanguka toka machoni" # akapata kuona Alikuwa na uwezo wa kuona tena # Aliinuka na akabatizwa "Sauli aliiuka na Anania akambatiza"