sw_tn/act/08/32.md

20 lines
570 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Hiki ni kifungu kutoka katika kitabu cha Isaya
# Kama kondoo mbele ya mchungaji akiwa kimya
Mkata manyoya ni mtu ambaye anakata manyoya ya sufu za kondoo ili zitumike.
# Kwa kuhuzunishwa kwake hukumu yake iliondolewa
Alidharauliwa na kuhukumiwa bila haki.
# Nani ataeleza kizazi chake?
Swali hili lilitumika kuelezea kuwa hatakuwa na uzao. Kwamba; "Hakuna hata mmoja atakayeweza kuzungumzia habari za uzao wake"
# maisha yake yameondolewa katika nchi."
Hii inaelezea kifo chake. "Watu walimwua" au "Watu waliyaondoa maisha yake hapa duniani"