sw_tn/act/08/14.md

32 lines
847 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Luka anaendeleza habari ya kile kilichokuwa kinatokea huko Samaria.
# Wakati mitume wa Yerusalemu waliposikia
Alama hii ni ya mwanzo wa sehemu mpya ya simlizi ya waumini walivyokuwa wakiendelea huko Samaria.
# Samaria
"Samaria" Neno linaloelezea juu ya watu wengi waliokuwa waumini katika wilaya yote ya Samaria.
# Pale waliposhuka chini
"Pale Petro na Yohana waliposhuka chini" kwenda Samaria.
# Waliomba kwa ajili yao
"Petro na Yohana waliwaombea waamini wa Samaria"
# Kwamba wangepokea Roho Mtakatifu.
"Kwamba Wasamaria wanaoamini wangeweza kupokea Roho Mtakatifu"
# Walikuwa tu wamebatizwa
"Filipo alikuwa tu amewabatiza katika Jina la Bwana Yesu Wasamria walioamini"
# Ndipo Petro na Yohana wakaweka mikono yao kwao
"Kwao" linahusu watu wa Wasamaria ambao waliamini ujumbe wa injili kutoka kwa Filipo".