sw_tn/act/08/04.md

20 lines
485 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hapa panaanzia simlizi inayomhusu Filipi, ambaye watu walikuwa wamemchagua kuwa shemasi,
# Ambao walikuwa wametawanyika
" waumini ambao walikuwa wametanyika kwa mateso makubwa".
# Alienda mpaka Mji wa Samaria
"Kwenda chini" Neno limetumika hapa kwasababu Samaria iko kwenye ukanda wa chini zaidi ya Yerusalemu.
# Mji wa Samaria
Haiko wazi kama ni mji wa Samaria katika mji wa Samaria.
# akamtangaza Kristo huko
Cheyo "Kristo" kinamwelezea Yesu, Masihi.