# Sentensi unganishi Hapa panaanzia simlizi inayomhusu Filipi, ambaye watu walikuwa wamemchagua kuwa shemasi, # Ambao walikuwa wametawanyika " waumini ambao walikuwa wametanyika kwa mateso makubwa". # Alienda mpaka Mji wa Samaria "Kwenda chini" Neno limetumika hapa kwasababu Samaria iko kwenye ukanda wa chini zaidi ya Yerusalemu. # Mji wa Samaria Haiko wazi kama ni mji wa Samaria katika mji wa Samaria. # akamtangaza Kristo huko Cheyo "Kristo" kinamwelezea Yesu, Masihi.