sw_tn/act/07/54.md

28 lines
826 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Baraza lilimjia juu Stefano kutokana na ujumbe wake.
# wajumbe wa baraza waliposikia mambo haya,
Hii ni hatua ya kugeuka; mahubiri yalifikia mwisho na baraza likachukua hatua.
# wakachomwa mioyo
Hii ni fumbo kwa, "kujawa na hasira"
# wakamsagia meno
Hili ni fumbo linaloelezea hasira nzito au chuki. "walikuwa na hasira ambayo walisaga meno yao kwa pamoja."
# Aliangalia mbinguni kwa makini
"Aliangalia juu kwenye mawingu."Inatokea kwamba Stefano peke yake aliona maono siyo mwingine yeyote katika mkutano.
# akaon utukufu wa Mungu
Kwa kawaida watu walizoea kuuona utukufu wa Mungu kwa ishara ya nuru." :mwanga mkali kutoka kwa Mungu". Stefano katika maono yake alimwona Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wangu.
# Mwana wa Adam
Stefano alimtambulisha Yesu kwa cheo cha "Mwana wa Adam."