# Sentensi unganishi Baraza lilimjia juu Stefano kutokana na ujumbe wake. # wajumbe wa baraza waliposikia mambo haya, Hii ni hatua ya kugeuka; mahubiri yalifikia mwisho na baraza likachukua hatua. # wakachomwa mioyo Hii ni fumbo kwa, "kujawa na hasira" # wakamsagia meno Hili ni fumbo linaloelezea hasira nzito au chuki. "walikuwa na hasira ambayo walisaga meno yao kwa pamoja." # Aliangalia mbinguni kwa makini "Aliangalia juu kwenye mawingu."Inatokea kwamba Stefano peke yake aliona maono siyo mwingine yeyote katika mkutano. # akaon utukufu wa Mungu Kwa kawaida watu walizoea kuuona utukufu wa Mungu kwa ishara ya nuru." :mwanga mkali kutoka kwa Mungu". Stefano katika maono yake alimwona Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wangu. # Mwana wa Adam Stefano alimtambulisha Yesu kwa cheo cha "Mwana wa Adam."